WAUZAJI WA KARANGA ZILIZOANDALIWA KWA UBORA WA HALI YA JUU

Tunauza karanga bora na zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu, Karanga ni moja ya mazao ambayo yanapanda thamani siku kwa siku katika Nchi yetu, Hizi ndizo faida za Karanga

1. Kuimarisha afya ya moyo
2. Hupunguza kolestro mbaya mwilini na kuongeza kolestro nzuri.
3. Mafuta mazuri yaliyomo kwenye karanga hupunguza shinikizo la juu la damu
4. Huponya magonjwa ya moyo
5. Hupunguza uzito. Faida zote hizi unaweza kuzipata kutoka kwenye karanga au siagi iliyotengenezwa kutokana na karanga (peanut butter)

Unashauriwa kula kiasi kadhaa kila siku, hasa za kuchemsha ndiyo nzuri.




KARANGA ZILIZOANDALIWA NA GREEN RESOURCES SUPPLY





ILI KUJIPATIA KARANGA ZILIZOANDALIWA KWA UBORA WA HALI YA JUU TAFADHALI WASILIANA NASI KWA MAWASILIANO YAFUATAYO:


THE GREEN RESOURCE SUPPLY.
P.O. BOX 1095, MTWARA – TANZANIA.
TELEPHONE: +255 625 520 450
                      +255 625 576 434
MOBILE NO:  +255 656 510 914

Comments

Popular posts from this blog

MCHAI CHAI: SULUHISHO LA MATUMIZI YA MAJANI YA CHAI

GREEN RESOURCES: WAUZAJI WA ROZELA (ROSELLA)