AINA ZA MBWA WENYE UWEZO ZAIDI KIULINZI

Kuna ina nyingi za Mbwa wanaofugwa hapa nchini kwetu, lakini kati ya hao kuna mbwa ambao wana sifa ya kuwa mbwa hatari zaidi. Mbwa hao wana uwezo wa kuwa Rafiki wa Rafiki zako na adui wa adui zako kwani wana uwezo wa kipekee wa kujua hisia na hata kutunza kumbukumbu kwa muda mrefu.

Ifuatayo ni orodha ya mbwa hao:

BEAGLE

BOXER

BULL DOG

FRENCH BULL DOG

GERMAN SHEPHAD

GOLDEN RETRIEVER

LABRADOR RETRIEVER

ROTTWEILER

Mbwa hawa pia huwa na uwezo wa hali ya juu wa uelewa wa lugha hivyo, wakipatiwa mafunzo huwa wanakuwa mbwa wenye sifa ya kipekee sana.

Kwa wale wanaohitaji kuanza kufanya ufugaji wa mbwa tafadhali usisiste kuwasiliana na sisi ili tukupatie mmoja wa aina ya mbwa hao kwa mawasiliano yafuatayo:


THE GREEN RESOURCE SUPPLY.
P.O. BOX 1095, MTWARA – TANZANIA.
TELEPHONE: +255 625 520 450
                      +255 625 576 434
MOBILE NO:  +255 656 510 914

Comments

Popular posts from this blog

MCHAI CHAI: SULUHISHO LA MATUMIZI YA MAJANI YA CHAI

GREEN RESOURCES: WAUZAJI WA ROZELA (ROSELLA)