MCHAI CHAI: SULUHISHO LA MATUMIZI YA MAJANI YA CHAI

Kutokana na majani ya chai kuwa na matatizo mengi kiafya Green Resources Supply tuliamua kuweka nguvu katika kusaidia afya za Watanzania kwa kupitia Mchaichai, licha ya kuwa ni mkombozi kutika katika majani ya chai. Mchaichai una faida nyingi sana.

Zifuatazo ni faida za mchaichai:

1. Kuzuia kutapika

2. Kutuliza maumivu ya tumbo

3. Kupunguza makali ya homa.
4. Msaada kwa wenye tatizo la  baridi yabisi,

5. Husaidia  kusafisha figo

6. Huzuia tatizo la tumbo kuunguruma 

7. Husaidia uyeyushaji wa chakula

8. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na maumivu mbalimbali ya mwilini.

9. Husaidia kupunguza maumivu kwa kinamama wakati wa hedhi.




Kupata mchai chi ulioandaliwa bila ya kupoteza ladha wala asili yake, tafadhali wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo:

THE GREEN RESOURCE SUPPLY.
P.O. BOX 1095, MTWARA – TANZANIA.
TELEPHONE: +255 625 520 450
                      +255 625 576 434
MOBILE NO:  +255 656 510 914

Comments

Popular posts from this blog

GREEN RESOURCES: WAUZAJI WA ROZELA (ROSELLA)