GREEN RESOURCES: WAUZAJI WA ROZELA (ROSELLA)

Karibuni wateja wa Rozela (Rosella) popote mlipo Tanzania, Maua ya Rozela ya faida nyingi sana

Maua ya rosella utengenezwa juisi inayo ongeza damu mwilini kwa haraka
Hutumiwa kama mboga na mbegu zake hutoa mafuta yanayo tumika kama dawa ya vidonda.

Dawa ya magonjwa mbalimbali kama kushusha presha, sukari, uric acid mwilini, inatibu kikohozi na mafua, ina punguza mwili pia hutengeneza ngozi na kuifanya iwe laini.

Maua ya rosela hutumika kutengenezea juisi , chai ,jam, pia hutumiwa kama rangi ya chakula.

Faida zinginezo;
Maua ya rosella yana vitamin C,A,D B1,B2,calcium,magnesium,iron, nk

Muhimu.
Kulingana na matumizi na faida za maua ya rosella ni vyema kupanda kwa wingi maua haya katika mazingira ya nyumbani kama ya navyo pandwa maua mengine ili iwe rahisi kuyapata pindi yanapo hitajika.
Mmea wa Rozela ukiwa shambani

Uvunaji wa Rozela

Rozela ikiwa imekaushwa

Kinywaji cha Rozela kikiwa tayari


ILI KUJIPATIA ROZELA (ROSELLA) ILIYOANDALIWA KWA UMAHIRI MKUBWA TAFADHALI WASILIANA NASI KWA MAWASILIANO YAFUATAYO:

THE GREEN RESOURCE SUPPLY.
P.O. BOX 1095, MTWARA – TANZANIA.
TELEPHONE: +255 625 520 450
                      +255 625 576 434
MOBILE NO:  +255 656 510 914


Comments

Popular posts from this blog

MCHAI CHAI: SULUHISHO LA MATUMIZI YA MAJANI YA CHAI