Posts

Showing posts from March, 2018

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

Image
Kuku wa kienyeji ni wazuri kwa ufugaji kwa sababu: Wanavumilia sana magonjwa, Ni rahisi kuwahudumia, Chakula chao ni cha bei ya chini, Wavumilivu wa hali tofauti za hewa, Hawahitaji uangalizi wa karibu, na soko lake ni kubwa sana na bei nzuri (Mayai trei moja SHs 10,000 mpaka 15,000, kuku wakubwa wanaanzia SHs 15,000 mpaka 30,000). Hii haimaanishi kwamba, uwaache kuku bila uangalizi, kwani nao hupata magonjwa kama wasipo patiwa chanjo sahihi, hupungua uzito na uzalishaji mayai hushuka kama wasipo patiwa chakula chenye virutubisho vyote. Hapa naelezea vitu muhimu katika hii formula ya ufugaji kuku wa kienyeji kwa mafanikio: 1. Aina ya kuku:  Chagua aina ya kuku wenye uwezo wa kutaga mayai mengi na wakati huohuo, kuzalisha nyama nyingi. Hii itakupa faida kote, kwenye upande wa nyama na upande wa mayai. Kuku hawa wanajulikana kama Chotara, wanatabia sawa na kuku wa kienyeji wenye asili ya Tanzania wanaopatikana maeneo mengi nchini; kutokana na uvumilivu wao wa magonjwa na hali tofauti

UFUGAJI WA SUNGURA

Image
Ufugaji wa sungura ni moja wapo ya chanzo kizuri cha mapato nchini Tanzania kama watanzania watafanya yafuatayo, Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji wa sungura. Chanzo endelevu cha mtaji kwa ajili ya mradi. Hulka ya uvumilivu na kuthubutu. Malengo thabiti ya ufugaji wa sungura. Tathmini ya soko la bidhaa za sungura. Kujipatia maarifa ya msingi ya ufugaji wa sungura. Hivyo Kabla hujaamua kufuga sungura unatakiwa hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama kwani sungura wanahitaji uangalizi na hasa kwenye usafi kwa sababu ni rahisi kwao kupata maradhi yatokanayo na mazingira mabaya na machafu. FAIDA ZA UFUGAJI WA SUNGURA Uzalishaji wa nyama Chanzo cha mapato Huzalisha ngozi kwa ajili ya shughuli mbalimbali za binadamu kama vile kutengeneza viatu.  Huzalisha mbolea kwa ajili ya matumizi ya shambani Mkojo wa sungura hutumika kutengeneza mbole

AINA ZA MBWA WENYE UWEZO ZAIDI KIULINZI

Image
Kuna ina nyingi za Mbwa wanaofugwa hapa nchini kwetu, lakini kati ya hao kuna mbwa ambao wana sifa ya kuwa mbwa hatari zaidi. Mbwa hao wana uwezo wa kuwa Rafiki wa Rafiki zako na adui wa adui zako kwani wana uwezo wa kipekee wa kujua hisia na hata kutunza kumbukumbu kwa muda mrefu. Ifuatayo ni orodha ya mbwa hao: BEAGLE BOXER BULL DOG FRENCH BULL DOG GERMAN SHEPHAD GOLDEN RETRIEVER LABRADOR RETRIEVER ROTTWEILER Mbwa hawa pia huwa na uwezo wa hali ya juu wa uelewa wa lugha hivyo, wakipatiwa mafunzo huwa wanakuwa mbwa wenye sifa ya kipekee sana. Kwa wale wanaohitaji kuanza kufanya ufugaji wa mbwa tafadhali usisiste kuwasiliana na sisi ili tukupatie mmoja wa aina ya mbwa hao kwa mawasiliano yafuatayo: THE GREEN RESOURCE SUPPLY. P.O. BOX 1095, MTWARA – TANZANIA. TELEPHONE: +255 625 520 450                       +255 625 576 434 MOBILE NO:   +255 656 510 914 E-MAIL: aneth.greenresouce@gmail.com WEBSITE: www.greensouce.b

MCHAI CHAI: SULUHISHO LA MATUMIZI YA MAJANI YA CHAI

Image
Kutokana na majani ya chai kuwa na matatizo mengi kiafya Green Resources Supply tuliamua kuweka nguvu katika kusaidia afya za Watanzania kwa kupitia Mchaichai, licha ya kuwa ni mkombozi kutika katika majani ya chai. Mchaichai una faida nyingi sana. Zifuatazo ni faida za mchaichai: 1. Kuzuia kutapika 2. Kutuliza maumivu ya tumbo 3. Kupunguza makali ya homa. 4. Msaada kwa wenye tatizo la  baridi yabisi, 5. Husaidia  kusafisha figo 6. Huzuia tatizo la tumbo kuunguruma  7. Husaidia uyeyushaji wa chakula 8. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na maumivu mbalimbali ya mwilini. 9. Husaidia kupunguza maumivu kwa kinamama wakati wa hedhi. Kupata mchai chi ulioandaliwa bila ya kupoteza ladha wala asili yake, tafadhali wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo: THE GREEN RESOURCE SUPPLY. P.O. BOX 1095, MTWARA – TANZANIA. TELEPHONE: +255 625 520 450                       +255 625 576 434 MOBILE NO:  +255 656 510 914 E-MAIL: aneth.green

WAUZAJI WA KOROSHO (CASHEW NUTS) DARAJA LA KWANZA

Image
Kutoka Green Resources Supply, tunawaletea korosho bora kabisa zilizoandaliwa kwa ubora wa Kimataifa, hizi ndizo faida za kula korosho: KINGA DHIDI YA UGONJWA WA MOYO Siyo tu kwamba korosho zina kiwango kidogo cha mafuta (fat), lakini pia zina aina ya mafuta (Monounsaturated Fats) ambayo hutoa kinga kwenye moyo, aina ambayo huweza pia kupatikana kwenye Olive Oil. Aidha, ndani ya korosho, kuna kirutubisho aina ya Oleic Acid ambacho utafiti unaonesha kuwa kirutubisho hicho huimarisha afya njema ya moyo na huwafaa hata wagonjwa wa kisukari. Kama kweli unajali sana afya ya moyo wako, basi pendelea kula korosho za kila aina. Utafiti wa hivi karibuni uliochapishwa kwenye jarida la masuala ya virutubisho nchini Uingereza (British Journal of Nutrition), umeonesha kuwa watu waliopendelea kula korosho na bidhaa zake, kama butter, idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa moyo vilipungua kati ya asilimia 11 na 19. Utafiti huo umeenda mbali zaidi na kubainisha kuwa watu wanaotumia ko

WAUZAJI WA KARANGA ZILIZOANDALIWA KWA UBORA WA HALI YA JUU

Image
Tunauza karanga bora na zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu, Karanga ni moja ya mazao ambayo yanapanda thamani siku kwa siku katika Nchi yetu, Hizi ndizo faida za Karanga 1. Kuimarisha afya ya moyo 2. Hupunguza kolestro mbaya mwilini na kuongeza kolestro nzuri. 3. Mafuta mazuri yaliyomo kwenye karanga hupunguza shinikizo la juu la damu 4. Huponya magonjwa ya moyo 5. Hupunguza uzito. Faida zote hizi unaweza kuzipata kutoka kwenye karanga au siagi iliyotengenezwa kutokana na karanga (peanut butter) Unashauriwa kula kiasi kadhaa kila siku, hasa za kuchemsha ndiyo nzuri. KARANGA ZILIZOANDALIWA NA GREEN RESOURCES SUPPLY ILI KUJIPATIA KARANGA ZILIZOANDALIWA KWA UBORA WA HALI YA JUU TAFADHALI WASILIANA NASI KWA MAWASILIANO YAFUATAYO: THE GREEN RESOURCE SUPPLY. P.O. BOX 1095, MTWARA – TANZANIA. TELEPHONE: +255 625 520 450                       +255 625 576 434 MOBILE NO:   +255 656 510 914 E-MAIL: aneth.greenresouce@gmail.com WEBSITE: www.g

GREEN RESOURCES: WAUZAJI WA ROZELA (ROSELLA)

Image
Karibuni wateja wa Rozela (Rosella) popote mlipo Tanzania, Maua ya Rozela ya faida nyingi sana Maua ya rosella utengenezwa juisi inayo ongeza damu mwilini kwa haraka Hutumiwa kama mboga na mbegu zake hutoa mafuta yanayo tumika kama dawa ya vidonda. Dawa ya magonjwa mbalimbali kama kushusha presha, sukari, uric acid mwilini, inatibu kikohozi na mafua, ina punguza mwili pia hutengeneza ngozi na kuifanya iwe laini. Maua ya rosela hutumika kutengenezea juisi , chai ,jam, pia hutumiwa kama rangi ya chakula. Faida zinginezo; Maua ya rosella yana vitamin C,A,D B1,B2,calcium,magnesium,iron, nk Muhimu. Kulingana na matumizi na faida za maua ya rosella ni vyema kupanda kwa wingi maua haya katika mazingira ya nyumbani kama ya navyo pandwa maua mengine ili iwe rahisi kuyapata pindi yanapo hitajika. Mmea wa Rozela ukiwa shambani Uvunaji wa Rozela Rozela ikiwa imekaushwa Kinywaji cha Rozela kikiwa tayari ILI KUJIPATIA ROZELA (ROSELLA) ILIYOANDALIWA K